Kwa vifaa na vitu vyako
• Angalia simu, kishikwambi, vipokea sauti vya kichwani na vifuasi vyako vingine kwenye ramani–hata ikiwa havipo mtandaoni.
• Cheza sauti ili upate kifaa chako kilichopotea ikiwa kipo karibu.
• Ikiwa umepoteza kifaa, unaweza kufuta data yote iliyomo au kukilinda kutoka mbali. Unaweza pia kuweka ujumbe maalum utakaoonekana kwenye skrini iliyofungwa endapo mtu atapata kifaa chako.
Data yote ya mahali katika mtandao wa Kitafutaji imesimbwa kwa njia fiche. Data hii ya mahali haionekani hata kwa Google.
Kuruhusu ufikiaji wa data ya mahali
• Ruhusu ufikiaji wa data ya mahali ulipo katika muda halisi ili upange kukutana na rafiki au uthibitishe iwapo mwanafamilia alifika nyumbani salama.
Ilisasishwa tarehe
2 Jun 2025